Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LABDA hakuna cha zaidi UHITAJICHO kujua!:-(

>> Tuesday, October 20, 2009

Wakati UNAHAMU ya KUJUA kitu kingine,....
.....KWANI ujuacho unakijua vizuri MPAKA UNAJUA kuwa hakitoshi?

Swali zaidi kiduchu:
  • Unauhakika binadamu azaliwaye akijua nyonyo ni nini, hajazaliwa na vyakutosha atakiwavyo kujua?
  • Kwani hujastukia kujua sana ni NYOKO?

Hili NI wazo tu KINGUNGE!

Hebu THE Isley Brothers wakumbushie-Its UR THING


Au tu bado The Isley Brothers walete za kupiga chabo katika-WHO is that LADY?

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP