Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU tatizo la kujisahau kwa MWENYE Kitombeo!

>> Monday, October 12, 2009

[Tahadhari:Neno na sio wazo linaweza kuwa kwa mtaalamu wakufikiria ghafla bila kuchukuwa mda labda mpaka wazo hili ni TUSI!:-(Kwa hiyo usilisome kama kwaheshima huwa kirahisi unakwazika.:-(]

Kumbuka katika sala atombaye ,...
.......kirahisi inaweza kuwa katika kusali HUYO hajui limsibulo atombwaye.:-(


Na kwa bahati mbaya tunaishi katika dunia ambayo kirahisi atombaye,...
...anasahau kuwa katika hilo tendo HICHO ndio KITENDO kihakikishiacho umati kuwa ni kweli kuna atombwaye!:-(
Swali:
  • Unakumbuka ukistukia janja ya SHETANI maana yake unajua kuna MUNGU?

NAACHA WAZO na SAMAHANI MHESHIMIWA BANANGENGE kama nakukwaza kama katika SALA HII NENO LINAKUKUMBUSHA TUSI!:-(

Hebu Tshala MUANA abadili kwa kuongelea- Tshikuna Fou


Au tu Mbilia Bel arudie kitu-SENDA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:34 pm  

Hapa kazi ipo mie nakaa pembeni kwa suala hili simo kabisaaaaaa!!!

Simon Kitururu 4:46 pm  

@Yasinta: Humo kwa kuwa swala hili limekaa kilokole?:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP