Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hallo BEIBE unabomba la FUVU!

>> Tuesday, October 20, 2009

[Tahadhari:Kumbuka naongelea FUVU LAKO chini ya yako SURA, kwa hiyo kutonisoma ni RUKSA!:-(]


Swali:

  • Ushawahi kushuhudia FUVU KISURA a.k.a ZUUUURI?
Uzuri wa sura, chachandu ni FUVU.

......Wakati unavutiwa na BICHWA la mtu kumbuka misingi ya uzuri wa CHOGO KAMA NYUNDO ni FUVU!

Na katika mtongozo kumbuka:
Akukubaliaye kwa kutingisha kichwa, kumbuka kushukuru lake FUVU kwa kuwa atingishalo ni FUVU ,....
.... na akukataliaye hata kwa sauti , labda tukania kiruhusucho BICHWA liwe na spika DOMO ambacho ni FUVU!:-(



Swali:
  • Kwani kuna ambaye hajastukia uzuri wa sura ni FUVU?
  • Unajua unafanana zaidi na fuvu lako ndio maana ngozi LAKO la sura pamoja na kuwa na UPELE bwelele na pia BOMBA la CHUNUSI lakini bado linakufiti ?
Kumbuka tu kukumbuka FUVU NI bomba la kitu ingawa kwenye sura umevutiwa na PUA KAMA RUNGU ,.......
......kwa kuwa bila fuvu labda pua ingekuwa tako na kuna ambao UBONGO ungekuwa TITI kama tu UBONGO huo kwa kukosa GESTI KICHWA usinge kuwa na sura kama CHAPATI kwa kujibanza KIKWAPANI.:-(

Swali:
  • Unauhakika uzuri wa NYUMBA ni kwa kuwa msingi wake ni KISURA?



NI wazo tu NJONJOLI HILI Mheshimiwa na wala labda HAKUNA HATA FUNZO KIPENGELE katika wazo hili SAIZI KIPELE!


Hebu Maxwell alainishe tena kwa kitu-Suitelady


Au tu Maxwell amalizie kwa kuwa siriasi katika kugusia-This Woman's Work

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP