Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TOKEA tanzania IZALIWE unafikiri IMEBALEHE au KUVUNJA UNGO?

>> Saturday, October 24, 2009

[Tahadhari: Mahubiri ya leo yanatumia lugha chafu kwa watu fulani!:-(]




Leo navyoongea hapa , ....
......U.S.A imeonya WAMAREKANI wote kujiadhari na Tanzania hasa Zanzibar kwa kuwa wanatarajia kutakuwa na VURUGU tokea usajili tu wa wapiga kura KUHUSU UCHAGUZI UJAO ulivyonasa RATIBA.:-(

[Kama unabisha GOOGLE tu swala hili kwa UNG'ENG'E!]





Sasaaaa , katika kujaribu KUWEKA MAMBO CHANYA kuhusu NCHI YA AMANI niulize;-

  • Kama Tanzania ni BONGE la TOTOZ, hufikiri baada ya miaka yote hii kitabia HILI toto huhisi ndio labda limevunja ungo?

  • Huhisi labda Tanzania kama ni LIVULANA, labda limebalehe hivi karibuni ndio kisa cha mchecheto na kujiingiza kichwakichwa lihisipo tu kuna kiboxi manyoya na titi?


SAMAHANI kwa wazo chafu MUUNGWANA;....
......ILA NAJARIBU KUWA NA WAZO CHANYA KUHUSU NCHI IITWAYO YA AMANI AMBAYO DUNIA IMEANZAKUAMINI AMANI YAKE NI TARARILA TU zaidi ya mtombo ,...
.....lakini labda na wewe unaweza kutonishangaa kama umeshuhudia MICHECHETO ya aliyevunja ungo na KUBALEHE tu!:-(

Na MWENZIO najaribu TU kuamini TANZANIA kama ni DEMU basi ni bonge la TOTOZ halafu bado SHAMBA ndio kisa cha kushabikia Konyagi wakati Gongo ipo!:-(

Na LABDA MWENZIO naamini TANZANIA kama ni DUME kinaweza ZAA HOVYO sasa hivi kwa kuwa bado halijajua hata uzazi wa mpango NI NINI au kwanini linataka mtoto wakati kujaza dunia labda sio mara zote ni UJANJA!:-(


NIMEACHA wazo MKUU na HILI NI WAZO TU MHESHIMIWA na shauri yako kama umelisoma na LIMEKUKWAZA kinamna!:-(
MUNGU IBARIKI TANZANIA!

Hebu tupate SINDIMBA kidogo kutoka kwa First Lady MICHELLE



Au tu MYA na Ciara watukumbushe pambio iitwayo-My Love is Like Whoa


Au tu N.O.R.E watupe pambio izungumziayo-Nothin'



UPDATING HUBIRI
a.k.a Kitu kipya katika kipele / habari BIKIRA:
Dada CHEMI CHE MPONDA anaongelea kilichonipa nyege ya TOPIKI HAPA

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Albert Kissima 8:25 pm  

Duh!

Mija Shija Sayi 1:57 am  

Umenena.

Yasinta Ngonyani 11:49 pm  

Simon! DUH:-(

Anonymous 12:23 am  

Mbona sioni maoni ya maana hapa. Ni Duh!, umenena. - Hamuelewi falsafa nini. Pigeni Bongo mtoe maoni ya kisomi siyo Duh! kila mara hasa kwa Y. Kama hamuelewi mnaweza kumuuliza K. akawaeleza anachotaka kusema kwa lugha ya kawaida. Hopeless!!!

Simon Kitururu 3:50 am  

@Wote: Asanteni wote na wote kwa dondoo zote.

Kwangu yote hata yale ambayo ni DALILI tu na sio MVUA NZIMA hutekenya eneo!


ASANTENI kwa kunitembelea na pia kuchukua muda kukohoa NENO!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP