Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nasubiri YAKUSHINDE nikucheke!:-(

>> Thursday, October 15, 2009

Kuna afikiriaye HIVYO sasa hivi ,.....
... na MLENGWA ni WEWE!:-(

TUNAKUMBUSHANA TU Mkubwa!

Swali:
  • AU?
  • Si unajua tena ROHO YA KWANINI kwa binadamu fulani ni KIBONGE halafu ina bomba la misuli kwa tizi la kila siku la kukusubiria uchemke MKUU?
NIMEACHA!

Hebu tubadili hali ya hewa kijiweni:

Kwa waaminio BINADAMU walikuwa NYANI unaweza kujikumbusha kuangalia binadamu walipotokea kwa kudeku matokeo yajitokezayo Nyani AKIZINI a.k.a KUFANYA uasherati.:-(

[Tahadhari :Ndugu Nyani anajifungua NA kama unahisi utakwazika usipige chabo!]
Kwa maana mijitu mingine kwa kupenda KULA chabo haiwezekani !LOH!

-MONKEY baada ya tendo la ndoa


Au tu ngojea Kool & the Gang warudishe tena ustaarabu HAPA kijiweni kwa vitu-Ladies' Night na Jungle Boogie .Samahani kidogo kwa video ya hapo juu ya WATAKAOKUWA BINADAMU hapo baadaye kama tafiti za watu fulani ni za kweli.

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:59 am  

wallai mtume hapo kijasho kimenitoka. Hii kali kweli

Fadhy Mtanga 10:31 am  

E bwana ndiyo.! Bonge la kinyundo,...!

chib 11:12 am  

Nyani....., macho yamenitoka pima, lakini mbona video haikumalizia wakati mtoto katoka!!

Simon Kitururu 10:19 am  

@Dada Yasinta: :-(
@Papaa Fadhy & Mkuu CHIB: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP