Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BAADAYE! :-)

>> Thursday, December 17, 2009







Swali:


Hivi unauhakika na ya BAADAYE?












NI HILO TU! :-(

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 11:55 am  

Mimi nina uhakika, nina hakika kabisa baadaye nitakufa..lol!

MARKUS MPANGALA 2:35 pm  

nina uhakika baadaye itakuwa baadaye, si unajua naanza na sasa halafu baadaye labda baada ya saa moja hivi na ushee. Lakini baadaye inafikirika tu yenyewe haisemwi...cha ajabu baadaye ninayoiamini hata sijaifikia lakini baaadaye ileile, sijui kwa wenye dini wanadhani baadaye hawatatukana na kuimbana matusi. lazima baadaye iwe na mazuri? SAMAHANI MHESHIMIWA MTAKATIFU BWANA WA MABWANA nitajie baadaye yangu ipoje wakati nasubiri kuangama kwa padre aSIYEJUA BAADAYE YAKE...NA LABDA ANAJUA TU KUWA NAJUA ANAYO BAADAYE

Simon Kitururu 3:18 pm  

@Da Mija & Mkuu Markus: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP