Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

wakati kuna wadaio: WATU WENGI WANAVYA MAANA vya KUSEMA bila kuwa na SAUTI au MAHALA pa KUSEMEA!:-(

>> Friday, December 18, 2009

Swali: Unafikiri kuna ukweli katika HILO?



Mimi kama Simon Kitururu naamini kuwa KILA MTU,.....
.... ana cha KUSEMA na PAKUSEMEA ,....

... na kila STAILI ya ASEMAYE inawasikilizaji wake MAKINI na WASHABIKI WAKE.

Swali:

  • Unabisha?


.....ILA CHAKUSIKITISHA,....
....ni kwamba staili ya USEMAVYO inaweza ISISIKIKE na USEMACHO KISIELEWEKE kwa kuwa ni kawaida USEMAYO na USEMACHO katika kulenga shabaha ,....

....kukosea MLENGWA,...

...... ndio maana HEKIMA zako ambazo zingesaidia MALAYA au WAJINGA MTAANI kwao zingelengwa ,...

.... kirahisi uwalengao na kuwazidishia dozi ya HEKIMA kwa staili yako labda ni MASISTA wa KIKATOLIKI wasiohitaji kujua kuwa KONDOMU zina ladha tofautitofauti pia, na MAPROFESA wa HEKIMA ambao wala hawahitaji sana HEKIMA zako za ALINACHA.:-(


Swali tena kiduchu:
  • Cha maana chako usemacho na MPAKA kukiandika hudhani labda uwalengao wangekusikiliza au kukuelewa zaidi kama UNGEFUNGA bakuli lako na wala usingeandika, na ulichotakiwa kufanya NI kuwaonyesha tu uwalengao PICHA?
  • Si unajua staili yako ya maneno mengi matamu katika kutongoza MALAYA labda ni kujipotezea muda kama umtongozaye alewacho zaidi kirahisi ni kuhongwa tu pesa?
  • Unafikiri ni mara ngapi unaongea sana hata kuhusu sehemu za siri wakati labda ungefanya hilo kwa ufasihi zaidi kwa kuwaonyesha walengwa picha tu ya mtu kabinuka uchi?




NIMEACHA!

Turudi Haiti T VICE azungumzie ya -Bad BOY LOVERS



Au tu T VICE na Jocelyne Labylle walete -J'aimerais te revoir

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP