Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Merry somethin' EVERYBODY!

>> Wednesday, December 23, 2009

Send your own ElfYourself eCards

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Koero Mkundi 6:27 am  

happy Birthday, Alah! sorry happy Wedding.....oh..no no no.....Happy Pasaka......jamani jamani jamani.....hivi nilitaka kusemaje vile babanguuuu.....Ohooooooo happy Christmas Mtukufu Kitururu

Nakuona unavyo shake kama Beyonce...LOL
ha ha ha haaaaaa!!!!!

Yasinta Ngonyani 10:22 am  

ha ha ha ha! nilidhani waTakatifu hawa- shake. Christmas njema: Na kumbuka ni siku ya kuzaliwa Yesu kwa hiyo usibugie ugimbi mwingi...LOL:-(

Markus Mpangala. 4:18 pm  

Limtu limoja linaitwa Markus likishiba linalala na kushindwa kukaribisha wakati wa kula...nakumbuka lindeko ngoma ya wamtengo ukiingia mstarinini aiseee unasahahu utakatifu.
duh haya kaka mkodo

Simon Kitururu 7:56 pm  

@ Dada KOERO::-) Merry Eximasi DADA!
@Dada Yasinta: :-)

@Mkuu Markus Mpangala: :-)

@Wote: Tuko Pamoja na ndio maisha ati!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP