Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa YEYOTE akihisi kibano aweza KUBADILI au KUNAKSHI STORI.

>> Tuesday, December 22, 2009

Karibu kila umjuaye KAFUDHU,....
.....katika sanaa ya kubadili STORI.



......na kwa sababu HIYO ukweli wa HALI HALISI ya SHENZI usimuliwao na aliyefudhu,....


..... yaweza ikawa IMEPENDEZESHWA au kutoongelewa KABISAAA kwa kuwa SHENZI KIHALIHALISI NI SHENZI KWELI na hilo ndilo UDHAIFU katika upewayo STORI kama ni kweli umepewa hiyo STORI.:-(



Swali:

  • Wewe sio miongoni mwa WANADILIO STORI au hata KUNAKSHI SHENZI kwa kuwa tu HALIHALISI ni CHUNGU na UKWELI WAUMA ?

  • Unauhakika stori zako kwa kawaida zinadaka hali halisi au huwa zinanaksh tu zaidi SHENZI isionekane kwa wake ushenzi?


NI MOJA YA WAZO na kama umenielewa DOUBLE CHECK upewazo STORIZ!


Hebu twende Senegal Youssou N'Dour adai - Birima




Au tu Youssou N'Dour alete - Salaam

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP