Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri ni VICHAA wangapi WAMEKUPANDISHA JAZBA , au tu WANAONUKA NYETI waliosababisha ufikiri wanajua KUJISWAFI NYETI mwaka 2009 MTANDAONI?

>> Thursday, December 31, 2009

Mtandao KIBOKO!

Na MTANDAO ulivyo kiboko,...

...usipoangalia unaweza hata kudhania KITUMBUA ni KEKI au kummendea DADA YAKO mtandaoni halafu siri ikafichuka kwenye familia yenu kuwa ni kweli WEYE msagaji.:-(




Siriasli kwa KISWANGLISH:

  • Unafikiri nini wakati unapandishwa JAZBA na ANONYMOUS mtandaoni?
  • Huwa unafikiria nini wakati unapandishwa nyege, - SAMAHANI- wakati unapandishwa JAZBA na USIOWAJUA mtandaoni?

  • Si unakumbuka LABDA usiyemjua MTANDAONI NI KICHAA na ukigombana na kichaa WAHENGA WANADAI ni vigumu kwa wengine kukutofautisha weye na aliye KICHAA?

  • Unauhakika wewe sio kichaa kwa wengine kisa kuna kitu chako unogewacho nacho na kukiona ni MUHIMU SANA PAMOJA NA MIAKILI YAKO kama vile tu VIATU au CHUPI GUCCI wakati unajua kuna WALIMWENGU wanakufa NJAA , hawakielewi?





NI WAZO tu hili MHESHIMIWA Kalumekenge!:-(




Hebu Miriam Makeba aingie DEEP kwa - When I've PASSED on




Marvin Gaye akumbushie kuwa dawa ya michecheto na kuwashwa kwingine ni- Sexual Healing




Tukiachana na hilo ngojea tukumbushane:

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 12:04 pm  

duh!


kumbe yule alonikasirisha mtandaoni alikuwa kichaa :-(

sasa nina kila sababu ya kukaa kitako na kunywa ze ugimbi hata kama ni kwa 'tamaa' kama akina FULANI walavyo UGALI KWA PICHA YA THAMAKI :-))

MARKUS MPANGALA 12:29 pm  

na uhakika ni kwamba kichaa akijipandisha mikunyanzi ya ghadhabu anajishtukia bora ashushe na kipande cha suruwali au gauni ili ajionyeshe hakufurahwa na ma Limtu lisilo kichaa kwa kuliwkea vikwazo vya kuingilia UKICHAA wake!
Makubwa haya, lione Limarkus likipanda kichaa kama kalumekenge na tararalila za vuvuzela hata kama usienmua ulimweka mwenyewe.

Bonge la taimining mwanangu...si linakujua hulijui na lina mawazo ya kukupandisha jazba ili ujue tu kuwa maisha hayafanani kila siku lakini tafsiri ya maisha uanjipangia namna ya maisha hata kama yana mnururisho wa ukichaa...

sasa kama unajua hakuna faida ya usiyemjua ili ukajinyee choo kingine manake choo chako unaona unakichafua tu.

Na labda ndiyo maana tunapolala tunasadiki usingizi mnono mpaka usiote ndoto za binti kiziwi ni mngoni ila tu anajua maisha ni kawaida mtu kufanya upembuzi wa kiyakinifu hata kama kichaa ametoa hoja.

SWALI... una uhakika kama Limarkus zee la nyasa linaiga staili ya FALSAFA NA WAZO NDANI YA NENO?
ndiyo inawezeakana markus kichaa ndiyo maana maisha yanafasiriwa kivingine na mtu mwingine kana kwamba ameelewa sana hii toipki.

KWELI kwakuwa staili ipendezayo nafsi ni ile yenye maneno maridadi ya kimhemko, na inakuwa na nakshi nyingi za riwaya basi kila mimi na wewe tunatamani maisha yetu yawe kama ughaibuni.... na pengine hata chawa akikung'ata hutakuina kwakuwa anakupandisha jazba za kumeng'enya maboke ya wakongo.

SUJIFANYE UMEELEWA SANA WEWE.

Unauhakika kama mada inahusu jazba? na labda ni yule asikujua tu hakukjui ndiyo maana nakujua utakasirikia kile kile ukasikiacho hata kama hukijui.

nimenunua baja ili ukasirike ujue maisha ni kwakuwa bajaj itafanya biashara na upate malipo. ngoja si unajua kuna vinginje kati ya vinginevyo venye chembe ya kujifurahisha na marafiki akiwemo USIYEMJUA?

eeeeeh makubwa haya sijaelewa najiandikia tu mistari yangu ya kishambenga ya nyasa. sikutakii heri ya mwaka mpywa wala nini mheshimiwa mkuu. mkuu wa nini wakati hujui akasirikiaye na kukunja ndita ni mtoto wa mfaranyaki na mzaliwa wa uswahilini majengo cha ajabu majengo ni nyumba ila wanataka tu iwe nyumba nzuri.

UNAMJUA ASIYEKUJUA ANAJUA UNAMJUA?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP