Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa KIFUPI,...

>> Tuesday, December 22, 2009

.... ujumbe HUFIKA.:-(



Na mara nyingi kwa KIREFU,....
..... kuna uwezekano ni staili tu ya KUZIDISHA tu katika UJUMBE MANENO tena katika ujumbe tayari ULIOFIKA.:-(








Swali:

  • Unauhakika na ujuzi wako wa lugha kama UJUMBE WAKO MFUPI unahisi wahitaji kuelezewa KIREFU?

  • Unauhakika ni maneno mangapi ndio mwisho wa kuandika kifupi?
  • Kama hujanielewa hapa kifupi, wafikiri nikizidisha maneno ndio ungenielewa?



NI WAZO TU HILI MKUU!


Hebu FELA KUTI aongee kirefu katika- OPPOSITE PEOPLE






Au tu Neneh Cherry & Youssou N'Dour warudie - SEKUNDE SABA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 6:26 pm  

wakati mwingine kumtolea macho mtu ni ujumbe tosha!

Simon Kitururu 9:44 am  

@Mkuu CHIB: Si utani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP