Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKIFANIKIWA kuchungulia mawazo ya MTU!

>> Monday, December 21, 2009

......,jamaa lenye pozi la KUFIKIRIA sana mpaka unaweza ukatishika kwa kudhani linafikiria jambo gumu sana na JIPYA ,.....


......KUNA UWEZEKANO hilo KUBWA ZIMA likifikiriacho saa hiyo ni UBWABWA .:-(









Swali:
  • SI unajua afikiriaye UBWABWA na MTAFITI afikiriaye kugundua DAWA YA UKIMWI kimuonekano wa pozi la kufikiria inaweza ikawa ngoma sare?

  • Hivi KIMUONEKANO unajua pozi lako wakati unafikiria UGALI utofauti wake na wakati unafikiria kitu KINGINE?



NI HILO TU Muzee wa KUTISHIKA na MAPOZI na ni WAZO TU!

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 1:48 pm  

Yawezekana pia ikawa wote wanawaza kula ugali kwa picha ya thamaki...!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP