Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama swala tumeelewa kuwa ni UIGIZAJI SINEMA, hatutashangaa kushuhudia MKE WA MTU akipigwa busu la wazi na TUSIYEMJUA!

>> Wednesday, December 23, 2009

BINADAMU kisaikolojia,....

... huwa hajisikii hata kuwa ni MUUAJI hata kama anajua MWIZI aliyempiga baada ya kumkuta anamuibia KAFA kwa kuwa jamii hata SWALA LA NANI NI MUUAJI hulijaji KISTAILI .:-(




Na tukiachana na JAMII isiyowashangaa WAUAJI kama akina Rais Obama ,NYERERE au tu WAHESHIMIWA WENGINE MARAIS watoao amri watu wauawe kwa kuwa jamii imeaminishwa kuna watu wanastaili kufa na pia kutowastukia wauao KISTAILI,......



....JAMII haishangai MHESHIMIWA muigizaji katika SINEMA akiwa UCHI kama STORI ya MOVIE jamii imeikubali kuwa GUMZO lake LINAFUNDISHO ZITO KWA JAMII na ni LA KIHESHIMA kwa kuwa katika sinema hiyo WAIGIZAJI kUWA KWAO UCHI ni katika kuonyesha MADHARA ya UKIMWI au tu HIYO ni STORI ya MHESHIMIWA Rais MANDELA na WINNIE MANDELA ila katika hicho kipengele cha sinema wanaonyesha JINSI Mheshimiwa huyo na MKE wake huyo aliyekuja kumshindwa BAADAYE walivyokuwa wanatengeneza watoto KISTAILI.





Swali:

  • Unabisha?
  • Unafikiri Rais SADDAM HUSEIN na GEORGE BUSH ni nani kaua watu wengi zaidi?
  • Unafikiri ungeandaliwa kimawazo kitofauti usingefikiria JOHO la PAPA BENEDICT ni aina tu ya GAUNI YA MATENITE ambayo PAPA kamuazima Ashura MJAMZITO?


Kwa kifupi TUKIRUDI KWENYE HOJA:

Kama umewahi kuangalia SINEMA ambayo ina MUIGIZAJI umheshimuye:

.......utastukiaKUWA HUWA hushangai au wala kupunguza heshima kwake ukimuona TITI a.k.a NYONYO kama sio mpaka CHINI KIDOGO ya KITOVU iwapo tu unaamini kuwa kwake UCHI ni muhimu katika kukufikishia UJUMBE muhimu KIHESHIMA au tu KISTAILI.





Swali:
  • Unabisha?
  • Unafikiri Rais OBAMA anajisikia MUUAJI kwa kuamuru watu waue VITANI?
  • Unafikiri ni wakati gani akili yako kisaikolojia hugeuka na kukufanya ukiona NYONYO hufikirii kuwa kazi muhimu ya NYONYO ni kuwa Hoteli ya MTOTO?
  • Si unajua karibu kila mme wa mtu MWENYE KUPIGWA DENDA kwenye SINEMA za HOLLYWOOD huwa anapigwa denda na mke wa mtu mwingine au tu Binti ya Mtu ambaye Padre hajahalalisha matamanio ?
  • Na unafikiri ni wangapi denda wawapigalo waume AU wake zao katika maisha yao ya kweli mtaani ni MAIGIZO?


HITIMISHO la hili wazo nyoko:

Ukiandaliwa vizuri na jamii kisaikolojia na hata tu kistaili ya kuona ni nini kawaida ,....

.....labda KUNAUWEZEKANO mkubwa ,...

.....mheshimiwa HATA wewe KWAKO hata NYAMA YA MTU INGELIKALIKA tu kama Njegere.:-(







NI WAZO TU HILI na mwenye kuelewa kashaelewa na kulibishia RUKSA!:-(





Hebu CHARLIE CHAPLIN akumbushie-SMILE



NENEH CHERRY amzungumzie tena -WOMAN



Au tu Angelique Kidjo arudishe- Agolo








NIMEACHA!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP