LIONE VILE hata AIBU HALINA!
>> Monday, December 14, 2009
Kunauwezekano KIINI CHA AIBU ZAKO,...
... ni uhusiano wako na watu WENGINE.
MISINGI YA AIBU ZAKO,....
.... yategemea sana jinsi JAMII ilivyokufunza kudhania NI NINI ni KAWAIDA kwa WENGINE.:-(
Na kama unaona aibu kwa YAKO,....
.... kunauwezekano wakati huo unafikiria WENGINE.
Swali:
- Unafikiri ushawahi kusikia aibu chooni peke yako ingawa ufanyacho huko ungekifanya hadharani ungekionea aibu?
CHAKUSIKITISHA ni kwamba MENGI HAYAONEWI AIBU,...
... ambayo ni ya KUTIA AIBU kwa kuwa tu WAYAFANYAO wanajiamini kwa kuwa wanajua WANAYAFANYA TU hayo kama tu WENGINE.:-(
... ambayo ni ya KUTIA AIBU kwa kuwa tu WAYAFANYAO wanajiamini kwa kuwa wanajua WANAYAFANYA TU hayo kama tu WENGINE.:-(
Swali kiduchu zaidi:
- Unauhakika kuna asiye na aibu?
- Unauhakika UFANYACHO SASA HIVI hakitii AIBU ingawa husikii aibu kwa hicho kwa kuwa tu UNAJUA ufanyacho hakina tofauti na wafanyacho waliokuzunguka WENGINE?
NI WAZO TU HILI na kulibishia RUKSA!
Hebu GETO BOYS warudie kitu- I TRIED
Au tu GETO BOYS warudie na -My Mind Playing Tricks On Me
7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
swali, una uhakikia sio aibu kuzungumzia aibu? kuwa na aibu mtoto kitururu
Nasikia kuna sehemu ya ubongo ikipata matatizo basi kontrol ya aibu inapotea kabisa. Na mtu anapayuka chochote mahali popote, na mbele ya mtu yeyote, na bila kujua kwa vyovyote vile
Aibu:-(
nyote mlosoma hapa hamna aibu pia...lol
naona aibu kuandika mawazo yangu
Chacha wambura nawe pia huna aibu..lol
@Komandoo Kamala: :-)
@Upepo Mwanana: Hilo lipo ingawa na la kununia shughuli bila sababu lipo nalo.:-(
@Dada Yasinta: :-(
@Kadinali Ng'wanambiti: :-)
@Mkuu Bennet: Kumbe tuko wengi wenye aibu. :-)
Post a Comment