Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa KILETACHO maana kwa ASHURA hakileti maana kwa KHADIJA,......

>> Thursday, December 17, 2009







.......labda hiyo ndio bahati yenyewe kwa Binti MWANABIBI Kadala,....
..... IIMPAYO NAFASI Binti Mwanabibi Kadala ,....

.... ya kuwa na CHAGUO la kuwa au kubakia tu kuwa....

... Binti MWANABIBI Kadala.







Swali :

  • Unafikiri wote mjanja wao akiwa ni RIHANNA na BEYONCE akina Winnie Mandela , BIBI TITI, Dr Asha Migiro au hata Hillary Clinton wataendelea kuwepo?

  • Si unakumbuka kiletacho maana kwangu ni kawaida kama kwako hakileti maana na wala hukielewi?
  • Na si unakumbuka wakati wengine walikuwa wanamzimia Generali Msuguri na NYERERE, wako wengi tu AMBAO kwao wakuigwa alikuwa Kadinali Laurean Rugambwa na Sheikh Yahya Hussein?



Samahani kwa wazo hili NYOKO Mheshimiwa!:-(


Hebu Jill Scott aongee na mwanamke mwenziye katika-Gettin' In The Way





Au tu Jill Scott aendelee na -Cross My Mind


Au tu RED RAT na BUJU BANTON wabadili kabisa kwa -Love dem BAD

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP