Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Lol !

>> Saturday, December 19, 2009

Kama ``LOL´´ kwa ung'eng'e ni;

.....-``Laughing Out Loud!´´












SWALI:

  • UNAFIKIRI ni kweli waandikao LOL ni kweli wana LOL wakati wanaandika LOL?







Kwa kuwa OMFG sio tusi kwa wadhaniao ni MSHANGAO,...



,,,, katika TUSU itusulizwayo ki TUSU kama tafsiri yake BANANGENGE ni TUSU,.....

.... labda ``OH MAI FAKEN GODI {omfg}´´.....


.... labda kwa Mheshimiwa OMFG ni TUSI kilugha OMFG ....


.....,


:-(





Swali:

  • Unafikiri niwangapi WAANDIKAO KIFUPI ni kweli wanacheka wakati wanadai WANACHEKA kwa kuwa waliyoandika kwa HERUFI KIFUPI kwa kuwa RASILIMALI YA MNYONGE ni UNYONGE katika UMOJA ,.....unawezakusingiziwa BASI katika ya wachekeleao kanyau SI hawachekeshwi hata katika iaminikayo INACHEKESHA?




OMFG NIMEACHA!:-(...



SWALI:
....Mheshimiwa ``KAJMB N.ni´´ IKIHITAJIKA KUELEWEKA ilipohitajika apumue.,...

.....mtu AKIHITAJI APUMULIE TAKO unadhani ni LAZIMA AOMBEE WATU WASISIKIKE akipumua kistaili iitwayo KUJAMBA ki kifupisho; KJMB N.na.i?:-(









NIMEACHA WAZO!:-(

Omfg na NAACHA kulazimisha KITU !:-(




LAKINI SI MHESHIMIWA,....

...... unajua hili ni wazo tu ndio maana labda wakati umejifunza kuandika LOL si LAZIMA ni kweli UNACHEKELEA KANYAU kwa SAUTI ki -``LOL´´ kama ulivyojifunza IMAANISHAVYO ``LÖL´´ :-(?





.:-(





NIMEACHA WAZO na RUKSA kutoelewa MHESHIMIWA hasa kama unakumbuka HILI NI WAZO TU MKUU!:-(






Ngojea GEORGE MICHAEL anung'unike kwaa kitu - Careless Whisper




AU tu CULTURE warudie kitu- I tried




Au tu niachie picha zaidi za juzijuzi za WANZABANGA....


Photobucket



Photobucket














Photobucket





Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:44 am  

LOL...:-) Nimependezwa na taswira nzuri. Jumamosi njema.

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 9:46 am  

@Mt Simon; jinsi ushangaavyo nami ndivo huwa nashangaa kama kweli huwa uko mawazoni :-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 10:49 am  

yaweza kuwa hata hii ya :-( haimaanishi huzuni bali 'hilooo..lione vile sura yake!!!!!'

Fadhy Mtanga 1:18 pm  

Careless whisper...ngoma inanikumbusha enzi zangu nikiwa mtoto wa shule. Nilikuwa na daftari langu la masongi ya kizungu. Nilikuwa naimba hizi ngoma mbaya mazima.
Pamwinga sana mkuu.

Faith S Hilary 8:58 pm  

nilimuuliza mtu ambaye ninachat nae nikamuuliza kama kweli anacheka akiandika "LOL" akasema yeye ana "chuckle"....I guess I do the same thing kwamba sio kwamba nacheka ile "HAHAHAHAHAHAHA"...lol

nice photos btw(by the way)

Simon Kitururu 11:15 pm  

@Dada Yasinta: :-(


@Kadinali Ng'wanambiti: :-(


@Papaa Fadhy: DUH kumbe ulikuwa na hilo daftari la siri kama mimi? Ila hilo mimi nilikuwa siwaonyeshi watu kwa kuwa nilikuwa napenda kuonyesha zaidi daftari la nyimbo za Bob Marley enzi hizo.:-(

@ Mwanadada FAITH a.k.a CANDY1: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP