Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SANAA ya kupatia KUJILAUMU!

>> Thursday, December 10, 2009

KUJILAUMU NI SANAA na inategemea SANA unachojua NI NINI ili ufanikishe kupatia KUJILAUMU.

Na wakati UNAJILAUMU ,....
unaweza ukawa unakosea STAILI ya KUJILAUMU.

Na KIKUBWA ZAIDI wakati UNAJILAUMU,...
.... inaweza ikawa unakosea kwa KUJILAUMU.

Swali:

  • AU?

Haki ya NANI TENA,...
... kuna ukweli kuwa KIBINADAMU ujuacho LEO na KUJILAUMU,...
....ndicho ambacho kesho waweza kustukia kuwa katika yote HICHO ndicho ulikuwa unapatia na hicho NDICHO hukutakiwa KUJILAUMU.:-(

Swali.

  • Si unakumbuka si kila akulauumuye ana KWELI tupu ya ULAUMIWACHO?
  • Si unakumbuka labda KUJILAUMU ni staili tu ya kujipotezea MUDA?

NI wazo tu Mheshimiwa HILI!


Hebu King Sunny Ade alete -Dance Medley


King Sunny ADE aendelee kutupa - Mori KEKE KAN


Au tu King Sunny Ade arudie-Synchro System

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP