MIKOGO ya JALALA!
>> Thursday, December 03, 2009
Jalala ni JALALA,....
..... kwa adhaniaye  kifikira zake TU  analijua ni nini kwake ni  JALALA!
Tafsiri ya JALALA,....
....  kama ni JUNGU limwagiwalo  UCHAFU , basi JALALA laweza tafsiriwa MPAKA  kuwa watu kibao mpaka yule mpenzi asiye kinuka mkojo , - uwajuao ni JALALA.:-(Swali:
- Unabisha?
Lakini  kitiacho moyo ni kwamba JALALA lako  kwa mwingine  ni KIWANDA cha MBOLEA.
Lakini kitiacho maumivu pia ni kwamba JALALA bado kwa wengi tu HAPA DUNIANI ndio KAZINI na WAOKOTEAKO chakula katika KUJARIBU KUSAWAZISHA siku ipate kuendelea.:-(
Na katika MIKOGO ya swala zima la JALALA,....
.... ni kweli WAKATI labda WEWE  ukisikia jalala  unafikiria  UCHAFU kumbuka KATIKA HILO kuna aonaye, ridhiki  na  hata  MPENZI , .....
.....na kwa hilo ndio maana yote UYAJUAYO yapo kwenye la mtu HAPA DUNIANI hata kama sio lako yaweza kuwa kama sio uchafu basi ni JALALA .:-(
.....na kwa hilo ndio maana yote UYAJUAYO yapo kwenye la mtu HAPA DUNIANI hata kama sio lako yaweza kuwa kama sio uchafu basi ni JALALA .:-(
Swali:
- AU?
NI wazo tu hili  MKUU wa KITENGO!
Hebu FELA KUTI aanze na -Let's Start
Au tu FELA KUTI atulize kwa -Mr Grammarticologylisationalism is the Boss
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment