Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

'Christmas Recipes / Mapishi ya Noeli'

>> Friday, December 25, 2009

A Taste of Tanzania has posted a new item,....

..... 'Christmas Recipes / Mapishi ya Noeli'


I have put together a pdf of simple recipes from Tanzania that many people will
be preparing this weekend back in Tanzania. Traditionaly Pilau is the number one
recipe to think of during the holidays. I wish you a VERY MERRY CHRISTMAS.


You may view the latest post at:

http://tasteoftanzania.com/blog/2009/12/24/christmas-recipes-mapishi-ya-noeli/





Best regards,
Miriam Rose














5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:18 pm  

Asante kwa hili nashani Christmas yangu itakuwa nzuri, Ila kuna kitu/mtu nahitaji kiwe/awe nami hapo sikukuu ingekuwa bomba kweli. Sikukuu njema Mt. Simon hapo ugenini ila naamin una marafiki wengi wema kuliko....:-)

chib 4:41 pm  

Krismas njema mkuu

Mzee wa Changamoto 5:00 pm  

Mtaka"tifu" Simioni wa Yohana
Kwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako

Albert Kissima 6:12 am  

Heri ya sikuuu ya Noeli na Mwaka mpya mweeeema wenye amani, furaha,upendo na mafanikio kede kede.

Simon Kitururu 2:43 pm  

Asanteni WOTE!Mrungu ambaye ni Mungu wa Kipare awe nanyi!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP