Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKITAKA kuinjoi kuwa MTU,.....

>> Tuesday, December 15, 2009

.... labda ,...
... USIJARIBU SANA kuwa MALAIKA.:-(








Swali:
  • Si unakumbuka pamoja na mbwembwe zote za binadamu lakini bado BINADAMU ni mnyama tu kama unajua ni nini mimea?
  • Si unakumbuka UKIFANANISHA ya MTU na ya SHETANI unachofanya LABDA ni aina tu ya kumdharau SHETANI kwa kibinadamu KWA kusahau uwezo wa shetani hasa kama uliwahi kusikia SIFA za uwezo wa SHETANI hata tu ule wa kumtisha au kumpa tamu BINADAMU?
  • Unauhakika tokea uanze kufikiria kwa makini HUJARIBU SANA kukwepa kukubali ubinadamu wako wa kukubali kuwa pamoja na yote ujaribuyo KWA KUWA WEWE NI mtu bado unajaribu sana asiyoweza MTU?
  • Unauhakika unaishi kama MTU na sio kama Mbwa koko?


NI wazo tu hili KIJEBA!:-(

Hebu Mike Myers abadili hali ya hewa kijiweni kwa kurudia - Woman beat Poem


Au tu Mike Myers arudie- What's New Pussycat

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP