Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama Rais BARACK OBAMA angedakwa wakati bado ANAVUTA BANGI na kutumia madawa ya KULEVYA!:-(

>> Saturday, December 19, 2009






Kama wewe ni MALAYA,...
... au tu kama wewe BADO ni MALAYA!




:-(








Swali:
  • Si unajua kama tukikuachia utusimulie jinsi ujambavyo vizuri unaweza kusababisha tufikiri una jamba PAFYUMU?


  • Unajua kunauwezekano UKIACHA KITU KAMA TU ULIVYOACHA KUWA MLOKOLE na ukajua jinsi ya kuongelea HILO kuna uwezekano MKUBWA tutakusamehe?

  • Unajua kunauwezekano UKIACHA KITU KAMA TU ULIVYOACHA KUWA MLOKOLE na ukajua jinsi ya kuongelea HILO WEWE MALAYA hata jinsi ULIVYO KUWA MALAYA ukiongelea hilo la UMALAYA WAKO kivyako tunaweza kufikiria kuwa weye si MALAYA KAMA MALAYA WENGINE na hata ukizaa bila MUME kama MAMA MARIA mama ya YESU tutaamini tu KAMA WAKRISTO WAMINIVYO MIMBA YA MAMA MARIA ni kweli ulipata mimba KAMA UKIPATA MIMBA kwa kuwa ulivyoonjwa UMETUAMINISHA KUWA ulionjwa kitukufu?
  • Si unajua nikifanikiwa utanisamehe NA mpaka hili niandikalo hapa ambalo labda ni NYOKO na WAWEZA MPAKA ukashauri ndani ya TANZANIA nisomwe KWA HILI mpaka shule za CHEKECHEA?





Unajua,...

... pamoja na MADOIDO yote ya sentesi HIZI kadhaa bado niongeleacho kinauhusiano na jinsi ambavyo ungejisikia kuhusu BARACK OBAMA kama kichwa cha habari cha tararila hii kiulizavyo ;...


.... `` Barack Obama angekiri ni kweli alishawahi kuonjwa TAKO kabla hujawa MSHABIKI WAKE ungeshabki nini katika lake yuleyule ambaye ni huyu?:-(´´







SWAli:
  • Umenielewa?
  • Unauhakika Rais Barack OBAMA kama tu Waziri msaafu WARIOBA wameacha kuvuta BANGI kama adaivyo RAIS mstaafu BILL CLINTON?






NIMEACHA na haki ya nani MIMI Simon KITURURU SIVUTI bange!:-(

Hebu nimuache BOB MARLEY arudi kukukumbusha unafiki katika-Hypocrites

Au tu BOB MARLEY aongelee swala hili kimarudio ili ufikirie kama hata wewe sio MNAFIKI:-(..

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 1:56 pm  

vitu vingine haviaminiki hata kumdhania mt. simon angekuwa na bichwa lenye nywele 'apeche alolo' a.k.a zungu....lol

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP