Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukikutana na aliyekaa MKAO wa ''ONGEA nikubishie!''

>> Wednesday, December 02, 2009

Kumbuka sio kila akubishiaye hakubaliani na weye,...

... LAKINI kumbuka kwa MWENYE TABIA ya kubishia kila kitu,...
... HATA UONGEE kweli gani ATAKUBISHIA.:-(

Swali:
  • Si unajua hata ukiwa unaongelea dirisha la nyumba ya MTU kwa kumuonyesha mtu dirisha bado abishaye anaweza kudai dirisha ni mlango ila NI MLANGO ambao watu hawajaamua kupitia?
  • SI unakumbuka akubishiaye kuna kitu kakusikiliza na labda ujumbe wako uliotaka kuufikisha umefika?


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA !


Hebu Bangles wabadili kwa -Eternal Flame

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP