MALUWELUWE yajayo UKISIKIA SIFA asifiwazo mke wa RAIS kwa sababu ni MKE wa RAIS yasababishapo ujiulize ni nini hasa kazi YA MME WA MALKIA!
>> Friday, December 11, 2009
Mke wa Rais mwenye BATASAMU( samahani) tabasamu ZURI,....
.... ingawa anawezakujulikana kwa MIAKILI ,...
umaarufu wake NA AKUMBUKWAVYO inaweza ikawa ni jinsi TU achekeavyo tu WANANCHI!
umaarufu wake NA AKUMBUKWAVYO inaweza ikawa ni jinsi TU achekeavyo tu WANANCHI!
Swali:
- Unauhakika kazi ya MKE wa RAIS ni nini?
NI HILO TU !
IJUMAA na WIKIENDI NJEMA!
IJUMAA na WIKIENDI NJEMA!
Hebu Graham Norton arudishe UJINGA kwa -Public Restroom Prank
Snoop Dogg na The Dream warudishe- Gangsta Luv
Au tu Buju Banton arudishe Classic-Move YOUR BODY
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment