Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

GUNDI ya undugu wa ndugu wa FAMILIA ya MZEE KIBWENGO!

>> Friday, December 18, 2009

Katika vigundishavyo NDUGU katika famili yako....:

UPENDO,...
... ingawa LABDA upendo pekee HAUTOSHI.:-(



DAMU,....
... ingawa DAMU NI NZITO KULIKO MAJI, bado kwa kulainisha umuhimu wa mapungufu ya uzito wa maji wafanya maana na umuhimu wa damu nzito HAUTOSHI.:-(



SHIDA na MATATIZO,....
.... ila kwa kuwa SHIDA na MATATIZO staili ya kuvishughulikia vyaweza vunja UNDUGU , basi labda hivyo navyo HAVITOSHI.:-(




RAHA,....
...... ila tatizo kusherehekea RAHA kwa kawaida HAKUDUMU kwa hiyo nayo HAITOSHI.:-(




UNDUGU,....
.....ingawa labda UNDUGU wahitaji URAFIKI kwa hiyo labda UNDUGU pekee HAUTOSHI.:-(





NALIKATIZA hapa HILI WAZO kabla halijamfedhehesha Mheshimiwa ANDUNJE!:-(



Swali:

  • Unauhakika na umadhubuti wa GUNDI yako na NDUGUZO katika kukugundisha WEWE na NDUGUZO wote KISAWASAWA au kuna baadhi ya NDUGUZO inawagundisha zaidi na wengine kwao inawagundisha kigundi ya MATE?
  • Unauhakika UMEFIKIRIA ni nini hasa kikugundishacho wewe kwa ndugu zako wapenzi ambao unajivunia ni NDUGU ZAKO?


Ngojea turudi tu tena HAITI CARIMI wabadili hali ya hewa hapa KIJIWENI kwa madai- I want to be



Au tu tubaki hapa hapa HAITI na T VICE arudie-Pou jam pale

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP