Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati kuna MTANZANIA anajisikia HURU!

>> Wednesday, December 09, 2009

UHURU ni kitu cha AJABU,.....
.... LABDA ndio maana UNAWEZA KUSHINDWA KUNIBISHIA nikidai hakuna ALIYE HURU!:-(

Swali:
  • Unafikiri kuna MTANZANIA yuko HURU?


Katika UHURU wa MTANZANIA;
  • Matajiri inabidi wajijengee KUTA majumbani kwao ili kujipa uhuru ndani ya geti kwa kutofikiria hilo ni KUJIKOSESHA UHURU.

  • Wanasiasa inabidi WAJIKOSESHE UHURU kwa kujifanya wanajali wananchi wawapao kura ili waendelee kupigiwa kura kwa ahadi zao ambazo wanajua hawatatimiza kwa kuwa katika DANGANYA TOTO wauzayo YA UHURU wenyewe kwa kuwa wana nyege ya wizi juu ya UONGO WALIOZOEA ,- hawako HURU.:-(

  • NA walalahoi wasio na kitu - kitu ambacho unaweza kufikiria `` USIPOFIKIRI ´´ kuwa kinaweza kumfanya mtu awe huru katika filosofi ya'' I got NOTHING TO LOSE because I got NUTHIN´ '' - ila kwa bahati mbaya tunajua kwa kuwa si kwa hiari WALALAHOI hawana kitu , - kwa hiyo kwa hilo HAWANA UHURU.:-(
  • Wenye dini TANZANIA na DUNIANI huko sigusi kwa kuwa katika uhuru wao wa dini kama kawaida twajua ndio kiwafungacho wasiwe huru.:-(

Swali:
  • Unafikiri kuna MTANZANIA yuko huru ukizingatia hata uhuru wa MTANZANIA kama WEWE wakati unanyege zako baruti kuonyesha unanyege kiheshima NI MWIKO na inabidi ujinyime uhuru huo USIJEONEKANA una MATUSI?


NI wazo tu MHESHIMIWA na usikonde!

Hebu nimalizane na MTU NAYE MHESHIMU KWA KUWA HURU AMBAYE ni FELA KUTI aje na Roy Ayers kwa kitu-2000 Blacks Got To Be Free



Au tu tena FELA KUTI Amwage na -Gbagada Gbagada



Au tu Fela alainishe isivyokawaida yake kwa kitu-Waka Waka


Nakuacha na BAADHI ya Picha za SIKU ya UHURU mahali kadhaa....:

























Photobucket




Photobucket





Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket










Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket








Photobucket


Photobucket


Photobucket

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 12:06 am  

Mhmmmmmmm, mkuu ilikuwa lini hapa Ufini? mlipendeza kweli na huyo mdada mwenye blonde. Sijui kama ulipona hapo!!!!!!!!!!!!!

Simon Kitururu 1:53 am  

@Mkuu : Malkiory: Nilikuwepo siku ya sherehe ya Uhuru! Kuhusu Mdada bado mzima:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP