Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unauhakika na USIRIASI wa ufikiriaye ANAONEKANA yuko SIRIASI?

>> Saturday, December 12, 2009

[Tahadhari: Ili uelewe hii NYOKO unahitaji KUFIKIRIA:-(]





Binadamu ni MABINGWA wa kuchekeana ,...

... ingawa KATIKA UBINGWA huo KUNAANAYECHEKWA:-(

....

Na kama uko MAKINI utastukia akuchekeaye anaweza AKAWA katika CHEKO HILO akukenuliavyo meno hata yasiyopigwa mswaki ,....

.....LABDA huyo na hapo, NA HAYO yote ni KATIKA tu KUKUCHEKA katika hilo,...

.... ingawa NA HILO kama LILE pia ni kama la LA YULE, huyu na hata HUYO pia ndio maana ulidhani ni kawaida likikenuliwa meno na udhaniao ni WAJANJA,....

... NA KATIKA HILI....

...basi hata kama NI HUYO mwenye kidude na anachekelea DUDE au tu LILE lenye KUNUNIWA na wengi KWAKUWA lina LILE ,...



.....KATKA HILO, ....

...hitaji lake hilo NA lile hata KAMA TU ni LA kununiwa , .....

........Labda HILO la huyo katika LILE na yule asiye HUYU ,....

...LABDA na HUYO kama tu umdhaniavyo yule ,....


.... HUYO na hilo , au tu tukiongelea HILI kwa kutumia kielelezo cha HUYO, huyo PIA kibinadamu anaweza akawa ni bingwa a.ka.PROFESA wa kununia pia SHUGHULI SIRIASI au wajanja waaminio ni SIRIASI siriasli IKIBIDI bila hata SABABU!:-)




Naacha TOPIKI na nakatizia hapa WAZO!:-(

Swali:
  • Unauhakika udhaniaye anakuchekea kwa CHEKO HILO ULIHUSUDULO ,UKICHEKELEWA NA HILO bado hudhani HILO katika KICHEKO sio TU ni dizaini yake TU ya hilo ILI AKUCHEKEAYE ya kukucheka usistukie ANAKUCHEKA hata kwa wako UNADHIFU kwakuwa labda unafaa kuchekwa??



Ndio katika USIRIASI wa binadamu ,....

.... bado ni kweli WATU wengi kikweli a.k.a BILA UNAFIKI , wako siriasi ZAIDI NA JUHUDI YA SHUGHULI ya haja kubwa chooni ambayo ILIWAPELEKA CHOONI kuliko HATA utaalamu wa JUHUDI WAONYESHAZO katika SHUGHULI ZA UTULIVU uhitajikao KANISANI KUMSIKILIZA PADRE au MSIKITINI wakati Shekhe anatoa mawaidha, kwenye ubarikio,kwenye MKUTANO wa mchango wa misiba, kwenye semina za BANANGENGE au tu HATA wakati wako hukohuko chooni ila safari hii huko chooni wafanyacho ni KUKOJOA!:-(

Swali:
  • Kwani unafikiri wewe unakonsentresheni kubwa ZAIDI katika kusikilizia ya WAZAZI au MWALIMU wa HESABU kuliko ya YALE UFANYAYO wakati unahakikisha HAJAKUBWA inatoka katika tobo la mwili wako SAA HIYOHIYO chooni au tu porini uchimbako dawa ?

  • Unauhakika kweli akununiaye KIUSIRIASI kanuna kikweli wakati unajijua HATA MWENYEWE nunazako BWELELE mara kibao ni danganyatoto?- AU?

NIMEACHA lakini KUMBUKA ni wazo tu hili SOMI MHESHIMIWA Mwenye BONGE la digirii , HUNA GOVI /huja KEKETWA , UNABONGA UNG'ENG'E , KATIBA YA CCM UNAJUA na pia kama tu MILA na desturi zenu KWENU za HESHIMA unaheshimiwa !:-(!

Naacha UTANI lakini KUMBUKA NI WAZO TU HILI hapa kijiweni MKUU.
na huhitaji kuelewa kama kistaarabu kwa kawaida YAKO wewe NI KAWAIDA HUWA wewe ni MGUMU KUELEWA:-(



Ngojea twende CUBA Mongo Santamaria alete-Drums & CHANTS



Tubaki CUBA Mongo Santamaria aendelee na kitu- Me & U Baby



Au tu Mongo Santamaria amalizie na -Watermelon Man

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 6:58 am  

Hilo nalo neno! Hujawahi kushtukia kuwa konsentresheni kubwa ipo pale unapokata gogo kwa mcharazo a.k.a kuendesha a.k.a kupoteza ufunguo?

Simon Kitururu 11:44 am  

@Papaa Fadhy: :-)

Yasinta Ngonyani 5:29 pm  

Duh! nilikuwa nimeanza kufikiria umeondoka katika dunia hii. Inafurahisha kuingia hapa kibarazani na kusoma tena maandishi yako:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP