Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

E-mail ya wazi kwa YESU!

>> Sunday, December 20, 2009

Kwa .....




Mheshimiwa mwokozi YESU,...

...... si UNASTUKIA na UNAJUA kuwa kuna WAJANJA wameivalia njuga siku fulani na KUIUZA kama ndiyo uliyozaliwa MPAKA usipokuwa MJANJA waweza kuamini ni kweli hiyo ndio tarehe na siku ULIYOZALIWA?

Ni hilo tu Mheshimiwa YESU.:-(








P.S:

Baizewei vipi lakini huko MBINGUNI maswala?

Si unacheki mwenyewe idadi ya waogopao kufa hasa kwa kutokuwa na jibu tu kama ni kweli huko mbinguni maswala ni MSWANO ZAIDI kuliko kule JEHANAMU kwa yule mshikaji wako wa zamani SHETANI?


BAADAYE BASI Mheshimiwa YESU kama nikipatia upendayo ilinijichanganye kwenye kijiwe chako huko uliko MKUU!

Si unajua mwenyewe MASHARTI ya PATI YAKO yalivyo magumu kwa BINADAMU akijaribu kuishi KIBINADAMU?:-(







.......AU tukiacha hili WAZO NYOKO , ngojea BOBBY McFERRIN atupe kitu - AVE MARIA



Au tu Mr PREGNANT alie tu kama hivi...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 10:34 am  

Mkuu Simon,wanadhani bado tuko gizani na nimuhimu kuwaambia watoto wetu ukweli kuhusu hiyo siku,tusiwapumbaze.

amani mkuu

rasta hapa.

Simon Kitururu 3:07 pm  

@Rasta LUIHAMU: Nimekubali. :--(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 1:52 pm  

Duh! ni besidei kweli na nichinje kuku ama bata?...!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP