Kabla hujastukia KILEVI chako ni BAGIA,....
>> Tuesday, December 15, 2009
..... unaweza kudhani ,....
.....KWA KUWA hunywi POMBE basi wewe sio MLEVI.:-(
Swali:
- Unauhakika hujalewa DINI?
- Si unakumbuka wapo uwajuao ambao wamelewa CHEO?
Swali kiduchu la ghafla kwa mheshimiwa asiyekunywa BIA :
- Je mheshimiwa unakitambi kisababishwacho na kilevi chako cha kula sana?
NIMEACHA!
Au hebu P.DIDDY ft JIMMY PAGE wabadili kwa kurudisha-Come with me
Au tu Ol' Dirty Bastard arudie - Got Your Money[Tahadhari : Lugha kwa mheshimiwa ina tusi]
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
utatakiwa kufika kwa maungamo leo...lol
@Kadinali: :-(
Post a Comment