Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Samahani MHESHIMIWA MWENYE KITAMBI; - kwa kuwa SIKUJUI na SIKUELEWI itabidi nibunie wewe ni MVUTA BANGI kwa KUKUFANANISHA na WAVUTA BANGI.

>> Wednesday, December 16, 2009

Kuna wafananao na MALAYA wakati ni kumbe ni nguo tu ila wao ni VIBAKA.:-(


Na kuna wakaao KILOKOLE wakati ni VIBAKA na PIA ukiwa uchochoroni GIZANI kwa jinsi walivyo na UKAME wanaweza kukubaka.:-(




Na kuna wadhaniwao ni MATAJIRI wakati ni masikini mpaka KIMAWAZO na kwa kuwa hujui waweza UKAWA HUSTUKI HILO kwa kuwa vigezo na vipimo vyako vinakasoro katika KUPIMA la watu hilo lakinafiki TABAKA.




Na wengi waitwao WAHESHIMIWA mara nyingi ni WAHESHIMIWA KIINI MACHO TU , na hilo HALIJULIKANI kwa kuwa ni kwa KUFANANISHA kwa kutuma vipimo mkweche WATU huhitimisha hata MWIZI kuwa ni MHESJHIMIWA MBUNGE kwa kuwa walimpigia kura na avaavyo pamoja na nywele staili ya KIBWENZI waheshimuyo basi wanadhani anautukufu wa KITUKUFU zaidi ya UKIBAKA.



Swali:
  • Kwa kutowajua asilimia zaidi ya tisini ya usiowajua UKUTANANAO kila siku mtaani unafikiri ni wangapi ambao labda wanasifa za mchumba wewe ukadhania ni VIBAKA?
  • Si ukiona mtoto mzuri kapendeza kwa juu huwa unadhania hana chupi chafu?
  • Unajua watu kwa kawaida wanakufananisha na akina nani na Unafikiri kikweli uko katika hilo TABAKA?




Kwa BAHATI MBAYA,....

...kwa kudhania tu,.....

..... kila MTU anafiti katika jedwali lolote kutokana na tu vigezo vya ADHANIAYE.:-(




NIMEACHA WAZO!

Hebu D'Angelo abadili kwa-SHIT, Damn , MOTHERFUCKER


Au tu D'Angelo azidi kubadili na -Brown Sugar



Au tu Angie Stone aongelee- I wish I didn't miss you anymore

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP