Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HARAKA HARAKA HAINA BARAKA katika swala la: `` MPENZI tufanye chapuchapu mnogo ILI niwahi kurudi nyumbani MKE WANGU asistukie NILISHANOGEWA!´´:-(

>> Monday, December 14, 2009

Haraka HARAKA haina BARAKA,....

...... ingawa kwa haraka HARAKA bado unaweza kufanikisha KUNOGEWA kama ni TAMU.:-(


Na katika kuharakisha hata YASIYO NA BARAKA,....

....Mheshimiwa ambaye hakuwa na GONO kwa haraka anaweza kupewa mpaka na KASWENDE kisa alifanya katika mazingira yaliyolazimisha AHARAKISHE ndio maana na KISA ndiye aliyempa KISONONO mama watoto WAKE , na KATIKA hilo swala zima limeondoka UTAMU.:-(

Swali:
  • Kwani katika msemo ``HARAKA HARAKA HAINA BARAKA ´´ ulifikiri mipaka yake ni katika ufanyavyo vyenye baraka tu?
  • Si unakumbuka hata kuiba visivyo hitajika kuibwa kwa haraka haraka inaweza ikawa ndio siri ya aliye harakisha kuiba kustukiwa?
  • Lakini si unakumbuka KUNA VITU haraka haraka ndio spidi yenyewe inayofaa katika kuneemesha UTAMU?

    Swali la harakaharaka lisilo na baraka:

    • Unauhakika WEWE huna UKIMWI kama jirani yako?:-(

NI HILO TU Mheshimiwa na kumbuka ni NI WAZO TU HILI kwahiyo usikonde!

Ngojea Sahlomon amuongelee-SARAH


Au tu DIBLO DIBALA akumbushie kitu-STOYA

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 2:29 am  

Haraka haina baraka, duuh!!

Simon Kitururu 7:41 am  

@DA Mija: Si utani!:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 7:56 am  

natumai haraka iko pia katika mambo ya kitakatifu kama siyo kitakavitu...lol

Simon Kitururu 3:39 am  

@Kadinali Ng'wambiti: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP