Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU nafasi uipayo UPUUZI MAISHANI mwako!:-(

>> Sunday, December 20, 2009






PAMOJA
na ukweli NI KWAMBA unaweza na UNARUHUSIWA kunibishia,...

... bado taka usitake UPUUZI NI MUHIMU pia MAISHANI MWAKO na labda ndio maana unajisikia vizuri hata kwa kujitahidi KWAKO usionekane MPUUZI.:-(





Swali

  • Unabisha?


Tatizo ni:

  • Je unajua nafasi ya UPUUZI MAISHANI MWAKO inatosha au ni kweli umezidisha tu angalau kidogo UPUUZI?
  • Si unajua upuuzi ukizidi ndio mpuuzi anakua MPUUZI na hilo mara nyingi sio wakati WEWE unadhani umeshamtambua au kustukia MPUUZI kwa kuwa kinamna unadhani unajua ni nini UPUUZI na nani MPUUZI?


Tukiachana nahilo:

  • Unauhakika unajua ni nini UPUUZI na kwa hilo uligundua mwenyewe na sio kwa kufundishwa na wajanja hata kama ni WAZAZI WAKO kuwa ni NINI upuuzi?




NIMEACHA!:-(




Hebu Bobby McFERRIN a -DRIVE

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP