Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TABIA NZURI iwezavyo KUMFANYA mtaka NANIHII asubiri AOMBWE KWANZA NANIHII ili KIHESHIMA akubali!

>> Thursday, December 03, 2009

Tabia NZURI ni MAZINGAOMBWE,....

....ndio maana yaweza kumfanya MWENYE NJAA kujivunga kuonyesha ana njaa WAKATI AKILI YAKE NZIMA imekaa mkao wa kusubiria akaribishwe chakula ili AKUBALI.


Lakini TABIA NZURI kwa kuwa ni MAZINGAOMBWE,....

..... mwenye njaa ANAWEZA ASISTUKIE KUWA akiomba chakula bado inaweza isiwe ni TABIA MBAYA kama hali halisi NDIO HIYO haimruhusu asubirie mpaka akaribishwe chakula ili kiheshima AKUBALI.:-(

Swali:
  • Hivi wewe ni yule ambaye wakati una njaa ya penzi kiheshima unasubiria MPAKA uombwe penzi ambalo unajua tokea mwaka juzi utakubali?
NI wazo tu HILI Mheshimiwa!


Hebu Fela Kuti aendelee kwa -Look and Laugh

Au tu Fela Kuti alete- FogoFogo

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP