Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKISHAtombwa,....

>> Sunday, December 20, 2009

..... ,



...... katika FARAJA HIYO,....


..... unawezakustukia ULIJIPENDEKEZA MWENYEWE ili UTOMBWE ingawa KIRAHISI TUKIFAFANUA MBINUKO WA WAZO ulilokuwanalo WAKATI HUO ,..


labda WAKATI HUO MAWAZONI kutombwa sio ulilokuwa unafikiria,....

.... na KWA HILO wala haibadili UJANJA hata kama hukusikia UTAMU KIJANJA kwa kuwa ni kweli hata ufanyenini ;...


...... UMESHATOMBWA.:-(








Swali:

  • Au?
  • Lakini si unajua hata baada ya kutombwa unaweza usistukie ULITOMBWA?:-(




[Tahadhari: Katika tararila hii , kirahisi NENO halina uhusiano na ufikirialo kirahisi NENO.:-(]

NI HILO TU!:-(








Au tu ngojea PRODIGY washindwe na kuamua ku- Smack MY BITCH up




Au tu waanzishe kwa -FIRE STARTER





Au tu waongelee pumuzi katika-BREATH

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 3:01 pm  

Kuna wengi taralila hii huitafsiri kadri maneno yaandikwavyo, na si yamaanishwavyo.
Kazi kweli, ndo usha....

Simon Kitururu 3:05 pm  

@papaa Fadhy: Yani basi tu!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP