Kama nikikupenda kama UCHI!:-(
>> Saturday, December 12, 2009
[Tahadhari:  makala HII BANANGENGE INA NENO uchi ambalo kwa wengine ni TUSI na pia  KABLA hujanisoma na  unajijua UNAMPENZI , labda KUMBUKA mpenzi wako  kunauwezekano hata hakupendi wewe kuliko APENDAVYO kikojoleo chake:-(]
Swali:
- Si unakumbuka kila mtu ana UCHI ingawa kuna waaminio neno na maswala ya UCHI kuyaongelea hadharani ni matusi?
- Na si unakumbuka kuwa uchi ndio mwanzo wa shughuli nzima ya kuvaa?
- Si unakumbuka uchi unaopendwa bado unaweza kuvalishwa chupi ya zamani iliyotoboka?
Labda kama nikikupenda kama WENYE UPENDO wapendavyo uroda KAMA WEWE upendavyo NYUCHI,...
... INAWEZEKANA nakupenda kweli KITAALAMU au hata kikuguna KULIKO   KIDINI YETU , kama   tukiangalia  hilo hata  kwa  KITAALUMA YA  jinsi agunavyo AGUNISHWAYE  KWA KUWA pendo apewalo kivitendo   TAMU , ...
.... NAKUPENDA KWELI ila TU LABDA BADO KATIKA PENZI NIKUPENDALO ukichunguza ni bado TU NAKUPENDA kama tu UCHI:-(
.... na TUKINUKUU  HILO,....
... labda nakupenda kuliko hata YESU, MOHAMEDI , BUDHA, BIBI, mwana bibi, SHETANI NA ANASA ZAKE ambazo ni tamu kuliko BAZOKA , ukoko wa UBWABWA WA NAZI , kwa kuwa PENZI LAKO mpenzi LA nigunisha ,....
... labda nakupenda kuliko hata YESU, MOHAMEDI , BUDHA, BIBI, mwana bibi, SHETANI NA ANASA ZAKE ambazo ni tamu kuliko BAZOKA , ukoko wa UBWABWA WA NAZI , kwa kuwa PENZI LAKO mpenzi LA nigunisha ,....
...au tu katika pendo hilo KWA KUWA  nakupenda sana ni kweli NAKUPENDA SANA ,...
..... ILA  PAMOJA NA YOTE katika hili  pendo ,  KUMBUKA KWA HILO BADO penzi  letu ambalo lina makali zaidi ya jinsi  UPENDAVYO  chapati,....
.... NAKUPENDA KWELI ila TU LABDA BADO KATIKA PENZI NIKUPENDALO ukichunguza ni bado TU NAKUPENDA kama tu UCHI:-(
Swali:
- Lakini si unakumbuka UCHI kama tu KIKWAPA hata uupende vipi usipouosha UTANUKA?
- Si unakumbuka kila upendacho kuna kitu unakifananishanacho ndio maana katika pendo LAKO maishani, - kujua UKICHUKIACHO ni muhimu hasa ILI UZIDI KUPENDA UPENDACHO au tu katika mikakati UZIDI kupendezesha PENDO machoni mwa washabiki WAPENDAO kuangalia WAPENDANAO ikiwa nia ni kurembesha upendo WAKO mbele za macho ya wengine?
- Unafikiri kama unapenda tako NI KWELI ungependa kupendwa kama MATAKO mpenzi?
Ndio , ...
.....  LABDA nakumpenda MPENZI  iliyofanana  na NAKUPENDA  KAMA MAMA YAKO imo  MPAKA katika pendo  LAKO HATA KWA HAUSIGELI , binamu nyama ya hamu, HAUSIBOI, MCHOMA MISHIKAKI wa karibu na NYUMBANI KWAKO au  na mpaka SHEKHE wa msikiti WA KARIBU ndio maana katika sentensi  yako ya `` NAKUPENDA SANA ´´ kwa umpendaye , pendo  HILO HATA KISENTENSI ukilichunguza WAWEZA KUSTUKIA limetoka kwa  KIGUGUMIZI.:-(NAKATISHA  wazo na kumbuka hili ni wazo tu MHESHIMIWA na kunauwezekano mkubwa wa KUTOELEWEKA!:-(
NA ni HILO TU MHESHIMIWA , hasa wewe MHESHIMIWA uogopaye kutamka neno UCHI kwa kuwa unajua  tu KISWAHILI na unapenda kuheshimiwa KISWAHILI!:-(
Hebu kama wewe ni kama mimi unapenda FUNK MUSIC tumuache muhasisi wa staili ya GO-GO - CHUCK BROWN alete-The PARTY ROLL
Au tu CHUCK BROWN arudishe -Bustin' Loose
Au tu Bone Thugs-N-Harmony walete tena -I tried
 
  
 Posts
Posts
 
 




4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mheshimiwa Kituru sasa nakupa kazi ili unisaidie kwa hili, je kuna tofauti gani kati ya maneno haya mawili. I LOVE YOU na I LIKE YOU,kama yanavyotumika katika jamii mbalimbali. Kazi kwako na kwa wadau wengine.
Duh!! hii ya leo ni kali afadhali wengine ni masista. ...lol
Ninahisi nimepata kizunguzungu au sijaelewa hii post!
@Mkuu Malkiory: Ntarudi na JIBU baadaye.
@Dad yASINTA: :-)
@mKUU chib : KUNA UWEZEKANO mkubwa NI KWELI post HII HAIELEweki.:-(
Post a Comment