Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WAKATI Watanzania ni MTANZANIA na hawajawahi BADO kuua RAIS!

>> Friday, December 04, 2009

Sifa za mtu ,....
.... yasemekana ndio chanzo cha sifa za WATU.

Na Mtanzania MTU,.....

..... kwa UVIVU wa watu kufikiria au kwa KAWAIDA TU YA WATU , huwa ndio WATANZANIA watu.


Swali:
  • Unakumbuka kuna Mtanzania mtu auaye MAALIBINO?
  • Si unakumbuka mara nyingi siku NYETI YAKO au tu wewe mzima UKINUKIA MAVI watu wataikumbuka hiyo siku zaidi kuliko siku zote nyeti yako AU WEWE MZIMA unukiavyo marashi ya karafuu?


Ni wazo tu MKUU usitishike!:-(


Ngojea Fela Kuti aendelee kubadili kwa-Coffin for Head of State


Au tu Fela Kuti alete-Sorrow, Tears and Blood

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP