SIKU ajifikiriaye ana SURA MBAYA akijisikia MZURI!
>> Wednesday, December 16, 2009
Kuna siku ambaye huwa ANAJIAMINI ana sura NZURi ,.....
...... hujisikia MBAYA.
...... hujisikia MBAYA.
Na kuna siku atendaye MATENDO MAZURI,...
.... huwa hana uhakika hayo matendo sio MABAYA.
Swali:.... huwa hana uhakika hayo matendo sio MABAYA.
- Unajisikia MZURI leo?
- Si unajua hakuna JINSI YA KUJISIKIA kudumuko milele bila mapozi?
- Si unajua KUJISIKIA ni mduara wa vipengele vya hisia na UKUMBUKAVYO kuwa ulijisikia mwaka juzi waweza kujisikia hivyo tena kesho?
NI WAZO TU HILI MKUU wa KITENGO!
Ngojea D'Angelo aendelee kwa -Untitled
Au tu D'Angelo na Erykah Badu warudishe -Heaven must have sent U
Au tu KEM amalizie kwa- Heaven
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment