Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BUSARA na USTAARABU!

>> Tuesday, December 22, 2009

Ukichunguza waweza kustukia kuna BINADAMU wengi ,.....
...... wasahauo kuwa BUSARA MARA NYINGI haijali lihitajikalo kibusara liwe LA KISTAARABU.




Na kwa USTAARABU wa wengi,.....
......lihitajikalo hata kujikwamua katika tatizo liwasumbualo sana HALIFANYIWI KAZI kwa kuwa kitafsiri yao sio la KISTAARABU.:-(




Swali :

  • Si unajua KISTAARABU kuna wachambiao TISHU /makaratasi hata kama kwa busara zao ni maji ambayo wanayo msalani ambayo yangethibiti vizuri usafi wa kitobo cha tako?




Ndio,...
..... KISTAARABU waweza kufa na NJAA hata kama kibusara suluhisho la tatizo unajua ingebidi udokoe MBOGA.:-(





NI wazo tu HILI Mheshimiwa na NALIACHA!


Au ngojea tu R.Kelly arudie-I believe I can FLY

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP