E-mail ya wazi kwa YESU!
>> Sunday, December 20, 2009
Kwa .....
Mheshimiwa mwokozi  YESU,...
 ...... si UNASTUKIA na UNAJUA  kuwa kuna WAJANJA wameivalia njuga siku fulani na KUIUZA  kama ndiyo uliyozaliwa MPAKA usipokuwa MJANJA waweza kuamini ni kweli hiyo ndio tarehe na siku ULIYOZALIWA?
Ni hilo tu Mheshimiwa YESU.:-(
P.S:
Baizewei vipi lakini huko MBINGUNI maswala?
Si unacheki mwenyewe idadi ya waogopao kufa hasa kwa kutokuwa na jibu tu kama ni kweli huko mbinguni maswala ni MSWANO ZAIDI kuliko kule JEHANAMU kwa yule mshikaji wako wa zamani SHETANI?
BAADAYE BASI Mheshimiwa  YESU kama nikipatia  upendayo  ilinijichanganye kwenye kijiwe chako huko uliko  MKUU!
Si unajua mwenyewe MASHARTI ya PATI YAKO yalivyo magumu kwa BINADAMU akijaribu kuishi KIBINADAMU?:-(
Si unajua mwenyewe MASHARTI ya PATI YAKO yalivyo magumu kwa BINADAMU akijaribu kuishi KIBINADAMU?:-(
.......AU tukiacha hili WAZO NYOKO , ngojea BOBBY McFERRIN atupe kitu - AVE MARIA
Au tu Mr PREGNANT alie tu kama hivi...
 
  
 Posts
Posts
 
 




3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Mkuu Simon,wanadhani bado tuko gizani na nimuhimu kuwaambia watoto wetu ukweli kuhusu hiyo siku,tusiwapumbaze.
amani mkuu
rasta hapa.
@Rasta LUIHAMU: Nimekubali. :--(
Duh! ni besidei kweli na nichinje kuku ama bata?...!
Post a Comment