HARAKA HARAKA HAINA BARAKA katika swala la: `` MPENZI tufanye chapuchapu mnogo ILI niwahi kurudi nyumbani MKE WANGU asistukie NILISHANOGEWA!´´:-(
>> Monday, December 14, 2009
 Haraka HARAKA haina BARAKA,....
...... ingawa kwa haraka HARAKA  bado unaweza kufanikisha KUNOGEWA kama ni TAMU.:-(Na katika kuharakisha hata YASIYO NA BARAKA,....
....Mheshimiwa ambaye hakuwa na GONO   kwa haraka anaweza kupewa mpaka na KASWENDE  kisa alifanya katika mazingira yaliyolazimisha AHARAKISHE ndio maana na KISA ndiye aliyempa  KISONONO mama watoto  WAKE , na  KATIKA hilo swala zima  limeondoka UTAMU.:-(
Swali:
- Kwani katika msemo ``HARAKA HARAKA HAINA BARAKA ´´ ulifikiri mipaka yake ni katika ufanyavyo vyenye baraka tu?
- Si unakumbuka hata kuiba visivyo hitajika kuibwa kwa haraka haraka inaweza ikawa ndio siri ya aliye harakisha kuiba kustukiwa?
- Lakini si unakumbuka KUNA VITU haraka haraka ndio spidi yenyewe inayofaa katika kuneemesha UTAMU?Swali la harakaharaka lisilo na baraka:- Unauhakika WEWE huna UKIMWI kama jirani yako?:-(
 
NI HILO TU Mheshimiwa na kumbuka ni  NI WAZO TU HILI kwahiyo usikonde!
Ngojea Sahlomon amuongelee-SARAH
Au tu DIBLO DIBALA akumbushie kitu-STOYA
 
  
 Posts
Posts
 
 




4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Haraka haina baraka, duuh!!
@DA Mija: Si utani!:-(
natumai haraka iko pia katika mambo ya kitakatifu kama siyo kitakavitu...lol
@Kadinali Ng'wambiti: :-)
Post a Comment