MPENZI una UBONGO KISURA KWELI!
>> Tuesday, December 15, 2009
SAMAHANI Do not DISTURB!
...... a.k.a usinisumbue , NATONGOZA mtoto nidhaniaye ana miakili KEDEKEDE :
 ''Nakusabahi  WAKWETU hujambo lakini!.....,....
......Yani MPENZi ubongo wako ulivyovaa ULIMBWENDE wanifanya nakupenda mpaka najisikia MAUMIVU!
Hivi mpenzi UBONGO wako unaupodoa na nini MWANAKWETU mpaka umevaa ULIMBWENDE namna hiyo? Halafu KIPENZI yani MPAKA cheko lako limekaa mkao wa MIAKILI tu , UNANAFASI twende chumbani kwangu tukajisomee?......................,.................´´

-nimemaliza kutongoza na NISHAKATALIWA.:-(
Wakati tunaishi katika DUNIA ambayo mvutio wa TAKO LA MTU wathaminiwa kuliko AKILI na UBONGO wa MWENYE TAKO,.......
.......chakusikitisha NI KWAMBA INAZIDI kuwa  vigumu kusikia hata MTONGOZO ambao MANENO YAKE MATAMU yamebobea katika UBONGO na AKILI  ZA MTU kutokana na  kwa atongozwaye kuvutia kwa UBONGO na AKILI  ZA KIUTU,....
......  hasa  kwa kuwa   atongozwaye ULIMBWENDE wake KWA ATONGOZAYE  unahusianishwa ZAIDI na avutiavyo SEHEMU ZA SIRI a.k.a NYETI ZAKE kuliko  UBONGO WAKE .:-(
- Unafikiri ni kwanini MAJINIASI a.k.a WENYE MIAKILI KEDEKEDE wanahesabika tu duniani?
- Unauhakika mwanao atakuwa na MIAKILI kedekede kukushinda wakati wewe mwenyewe unaovutiwa NAO zaidi ni WAJINGA ingawa kwa kujipodoa ni Maprofesa?
- Ukitongozwa ukakubali unafikiri ulipenda akili za aliyekutongoza au tu kwa kuwa ana BENZI na SURUALi ya pekosi dizaini GUCCI?
- Kama akili ni SURA unafikiri MPENZI wako ulimpendea SURA NZURI?
NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!:-(
Hebu Klyinn Ft Blue twalete- NIPE MKONO
Au tu Juliana Kanyomozi & Bushoke walete tena- Usiende Mbali
 
 Posts
Posts
 
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
nahisi hata kusoma hapa nimetongozwa japo sijui nani kanitongoza....lol
cheers
nahisi hata kusoma hapa nimetongozwa japo sijui nani kanitongoza....lol
cheers
Post a Comment