Ujumbe kutoka kwa BABA GASTON kwa WATANZANIA WOTE Waheshimiwa NA wasio Waheshimiwa WALIOKO UGHAIBUNI!
>> Wednesday, December 30, 2009
[Tahadhari: Kama uko Tanzania au uko ughaibuni na unajisikia uko nyumbani huko  UJUMBE HUU HAUKUHUSU:-(]
Kabla BABA GASTON hajaleta ujumbe, .....
.....ngojea nilalamike nilivyowahi kulalamika kipindi fulani..
Ujumbe wenyewe  kutoka kwa BABA GASTON kwa akina Simon Kitururu ni huu...
-RUDI NYUMBANI AFRICA-
 
  
 Posts
Posts
 
 




1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Ni kweli unajua kulalamika, lakini unalalamika ukweli, kwani ni baridi sana hasa wiki hii.
Post a Comment