Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Sababu hasa kwanini UNADHANI Mheshimiwa haongei MATUSI!

>> Tuesday, October 13, 2009

Kumbuka ni STAILI tu ya tusi istuayo mtu ,....
.... kuwa jamaa lina matusi sana.

LAKINI kumbuka wengi watukanao kwa staili unaweza kudhani wako KIMYA.


Na usipoangalia wakati uko miongoni MWA watu,...
..... unaweza kudhani unachekewa kumbe ndio BOMBA LA TUSI kama umeshazoea KUWA TUSI atukanaye lazima apayuke LABDA huku kakushikia MPAKA na kiuno katika msuto kama vile pointi YA TUSI itaongezeka ujazo zaidi wa tusi UKIPAYUKA hata kwenye UKIMYA!:-(

Swali:
  • SI unakumbuka kimya ni BOMBA LA SENTENSI?

  • SI unajua asilimia kubwa ya TUSI zitolewazo kwa neno ni NENO TU na labda tusingefikiria KISWAHILI nenolenyewe kwa KICHINA ndio jinsi ya kumsalimia MAMA MKWE?

  • Unakumbuka makali yote ya tusi ni JINSI tu unavyotafsiri neno na kuligeuza kuwa ni TUSI?


BAADAYE MKUU na mie nimeacha!

Ngojea NUTIN' but STRINGZ watupe tena kitu-Thunder

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 2:13 pm  

Ni kweli... akutukanaye hakuchagulii tusi, anaweza akazungumza neno tu, tena akicheka, lakini kumbe mhhh!
Mkuu nashukuru kwa salamu zako kwa kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu hapo jana, nimeziona kupitia blog mbalimbali.
Pia, umenifurahisha na msemo wa vikombe kabatini huwa havigongani, bali hugonganishwa :-)

Simon Kitururu 4:56 pm  

@Mkuu CHib: Nilitamani ule msosi!:-)
Kuhusu matusi kazi ipo! Ndio maana wenye akili waliotoka kujiangali na kujirembesha kwenye kioo na kujiona KIUTU wamependeza wanaweza bado kukasirika ukiwa tonya ''MBWA WEE'' wakati wanajua kwa uhakika wao sio mbwa!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP