Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Eee BWANA eeh!

>> Friday, March 25, 2011


Ijumaa na WIKIENDI njema MDAU!


Kaujumbe  KALEO pembeni kidogo ya tundu kwa ung'eng'e uliopinda:

``The only PERSON anyone should be JUDGING,...
.....is THEMSELVES!´´

Swali:
  • AU?
  • Kwani hujanielewa?TUKO PAMOJA!
Ni hilo tu !


Hebu Culture Musical Club of Zanzibar waingilie kati na kushusha maswala Kidumbak kwa ndude-Mpewa HAPOKONYEKI

Au tu Culture Musical Club ngojea waendeleze tu KIDUMBAK kimmalizio wa NGOMA ILEILE ila part``BE´´ .... sasa kwani tutafanyaje?


Au tu hebu Mariam Khamis alainishe zaidi kwa-Huliwezi BIFU

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 4:47 pm  

Weekend njema kwako pia mkuu sana!

SIMON KITURURU 10:15 pm  

@Chib: Asante Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP