Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati INAFIKIRIKA toto zuri HALINUKI kwa kuwa wakati huo halinuki!!

>> Wednesday, March 02, 2011

BINADAMU yoyote yule,...
.... nasikia asipooga ananuka!Ingawa kama anusaye ni MBWA yuleyule,...
.... umjuaye ambaye kwa harufu anatambua hata walioogea sabuni ya MBUNJU,....
..... labda aliyeoga bado anaharufu fulani kama ANUSAE ni mtaalamu wa kunusa  hasa yule ajuaye HARUFU sio LAZIMA maana yake ni KUNUKA tu !:-(Swali:
  • Inukiayo HIVI si mara nyingine ni kwa kuwa tu unanusa HIVYO kihivyo  kitu kifanyacho ustukie harufu HIYO?
Ndio,...
.... kama haunusi hivyo KIHIVYO,....
.... labda unaweza kuelewa ni kwanini kuna waliozoea kuishi karibu na MAJALALA yanukayo,...
....ambao wamesahau kabisa waishiko kunanuka!:-(NI hilo tu MHESHIMIWA na ni wazo tu hili!:-(


Hebu Franco na TP OK Jazz warudie -Lettre à Mr. le Directeur Général{Kumbuka hii ni albamu nzima  na sio wimbo mmoja na kama wewe ni mpenzi wa FRANCO na TP OK Jazz au unamfahamu apendaye lawalawa hizo -hii ni ALMASI!:-(}


Au tu tupewe  tena kitu  na PEPE KALLE

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Swahili na Waswahili 1:00 am  

harufu ukiizoea unaona shega tuu!!!!!hapo sasa akitokea mwingine ambaye hajaizoea/kuzoea kuishi karibu na hiyo harufu,habari yake pevu!!

SIMON KITURURU 6:02 pm  

@Rachel: Si utani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP