Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ingewezekana-LABDA ningejisahaulisha kuwa nina matatizo ya zaidi ya NYEGE au hata UJINGA na KWA HILO labda sina MATATIZO aisee!:-(

>> Sunday, March 27, 2011

Tatizo ni,...
.....HAKI ya nani TENA,...
....hata MTU ajisahaulisheje kuwa HANA MATATIZO,...
... hakuondoi UKWELI kuwa ana hayo MATATIZO na haki ya nani tena MATATIZO kama YAPO ,...
....kujisahaulisha hakuondoi UKWELI matatizo HAYO utakayo kuyasahau BADO yako PALEPALE.:-(


Swali:
  • Si nasikia hata ulisifieje TOTO lenye sura kama MATAKO ya bata kuwa lina sura kama  MALAIKA bado HAKUGEUZI UKWELI kuwa toto lenye sura kama matako ya BATA hilo lina sura kama MATAKO ya BATA na haki yanani  tena kimuonekano halionekani kama MALAIKA?

Ndio,...
...labda hata ujisahaulishe vipi hata  KAMA NI kwa hata  KULEWA POMBE , elimu  au hata kulewa tu  DINI kama wafanyavyo WENYE DINI , wapagani, walokole na waswahilina katika kujaribu kujisahaulisha machungu ya DUNIA,...
.... labda BADO HUKO   hakuondoi TATIZO aisee!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu King Sunny Ade abadili ghafla kwa -Oluwa No'o Jeun Kan / Sijuade
Notorious BIG abadili kabisa kwa-Suicidal Thoughts

Notorious BIG akumbushe-Niggas Bleed


Biggie Smalls aanze kulainisha kwa-Sky's The Limit

Au tu a- Hypnotize

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP