Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo: Queen of Hearts!

>> Friday, March 11, 2011

Blogu mpya ya MDAU:10 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Malkiory Matiya 3:19 pm  

Tervetuloa/karibu!

Yasinta Ngonyani 3:46 pm  

Karibu sana katika ulimwengu huu wa kublog:-)

John Mwaipopo 6:03 pm  

queen of heats? even my heart eeh? basi karibu sana waitu.

John Mwaipopo 6:04 pm  

hapo juu nilikuwa na pronunciation mbaya ya kutaipu. nilimaanisha HEARTS na siyo HEATS

chib 7:29 pm  

Mwaipopo, mbona yote ni sawa tu. Ingia kwenye blogu uone kama hutapata joto :-)

EDNA 7:36 pm  

Karibu sanaa mdada.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 9:02 pm  

Dkt. Chib umenichekesha!

Karibu "Malkia wa mioyo" !!!

Mcharia 11:39 pm  

Uuuiiii!!!

Mirabell 12:43 am  

asanteni sana wadau wenzangu na asanteni kwakunikaribisha katika ulimwengu huu wa kublogua mupate kitu roho inapenda lool,thanks to Simon na hongera kwakublogua kaka UBARIKIWE

SIMON KITURURU 1:10 am  

@ Mirabell a.k.a Queen of Hearts:Karibu sana !

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP