Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unafikiri kama usingejua umezaliwa tarehe gani ikusaidiayo kuhesabu MIAKA,...

>> Saturday, March 26, 2011

.... unafikiri ungedhania una UMRI GANI ?

Ndio ,...
... kwa kawaida siku hizi  tunahesabu MIAKA  kwa kuhesabu siku ambazo hugeuka MIAKA  ,...
.....lakini kuna umri wa KIBAOLOJIA ambao hutokana na ni jinsi gani tumejitunza KIAFYA na ndio uwezao  kufanya  saa nyingine  kuna MIMTU ufikiriayo ni MIZEE  na uipayo BONGE ZA  shikamoo kumbe ni MIDOGO kwako ,.....
....na  UMRI ambao ni mtu anavyojisikia ambao unamisingi yake KISAIKOLOJIA zaidi ambayo huweza kusababisha kufanya LIMAMA  au LIBABA zima  kuonekana linamitabia au linavaa kitoto.:-(


Lakini,...

Swali liko pale pale kuwa:
  • Unafikiri  USINGEJUA tarehe uliyozaliwa WEYE  ungedhania una umri gani?
  • SI labda UMRI na MIAKA ya mtu ni vitu tofauti?


Nawaza NAKUJIULIZA  tu kwa sauti MHESHIMIWA na wala usibanwe chupi!:-(


Hebu Lágbájá aanzishe upya kwa - Did I?Lágbájá arudie-Skentele Skontolo
Lágbájá au amalizie tu kwa mdinyo-Sobolation
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP