Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo: MBEYA YETU!

>> Friday, March 04, 2011

Kwa niaba ya timu nzima ya Mbeya yetu blog,....
Jina la blogu: MBEYA YETU
Tunapenda kulitambulisha wadau wote  libeneke jipya la Mbeya Yetu ambapo nia na malengo ni kuwaletea habari  mbali mbali kutoka Jijini Mbeya, Tanzania na Duniani kwa Ujumla ikiwa unatukio la aina lolote usisite kututumia kupitia mbeyayetu@yahoo.com . 


Karibuni nyote na Asanteni kwa kututembelea!
Kwa pamoja tunaweza!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 11:09 am  

Mbeya yetu kweli! Nawapa hongera nyingi. Na tunashukuru kukaribishwa; hakika tutambelea Mbeya Yetu!

emu-three 1:33 pm  

Safi saana ni hatua nzuri, maana ikiwemo Mbeya Yetu, Kilimanjaro, yetu nk, mwisho wa siku Tanzania nzima tutakuwa na taarifa zenye ukweli kwani zinaletwa na mtu aliyeishi hapo!
Karibu sana. Na mkuu TUPO PAMOJA

John Mwaipopo 5:11 pm  

hakika mbeya ni njema wote mnakaribishwa kutembelea sio tu ki-mtandao tu bali pia ki-kwelikweli.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP