Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NDUGU mafisadi matajiri wa Tanzania -MASIKINI ni tishio la utajiri wenu TANZANIA!

>> Friday, March 11, 2011

Jamani NDUGU  matajiri , MAFISADI na enyi  VIONGOZI wa TANZANIA,....

..... UMASIKINI ni tishio kubwa la AMANI  ,...
... labda hata kuliko ujinga TANZANIA ,...


... kwa kuwa inasemekana ``A hungry man is an angry man´´ a.k.a  kwa Kikwere ``Ze mani no NGUNA a.k.a KITOWEO is vere JAZBA yani ´´!:-(


Kwahiyo,...
.... jihadharini na MASIKINI ndugu mafisadi hata kama hamjihadhari na WAJINGA ,....
... na kwa kirahisi mchango wenu unaweza kuwa mkubwa kweli HATA  kwa angalau tu kutozidi kufanya MASIKINI wazidi kuwa MASIKINI  Tanzania!
NI hilo tu na nni wazo tu !
SIKU  njema WADAU  wote inkludingi  nyie Ze FISADIZ!


Hebu katika kubadili ndude  tukaombewe tupone kidogo....Duh! katika kurudia tu hoja   BOB Marley ngojea asisitizie kwa-Them Belly Full(but we HUNGRY)
hoja za Hungry man is an angry man /A hungry mob is an angry mob

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 3:45 am  

"NDUGU mafisadi matajiri wa Tanzania - MASIKINI ni tishio la utajiri wenu TANZANIA!"

Sina cha kuongezea mkuu. Natumaini fisadiz wamekusikia!

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 4:09 am  

Nimerudi tena kuuliza swali:

Kikwere kumbe unakifahamu? Iweje ufahamu Kikwere na siyo Kipare au Kijita?

SIMON KITURURU 2:10 pm  

@Mkuu MMN:Inasikitisha yani!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP