Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Safari ndefu ya kujifunza LADHA kwa BINADAMU kutoka kwenye ladha ya TITI la MAMA mpaka kufikia kuamini ladha ya MAGIMBI na SEHEMU za siri ni TAMU!!

>> Wednesday, March 30, 2011

Ndio,...

...watu wengi wapendao kula nyama hawakuzaliwa na TESTI ya NYAMA bomba ILIYOIVA ,....
....kama tu ilivyokuwa ni kweli LADHA ya SUKARI kwenye chai ni yakujifunza tu kwa kuwa kuna SUKARI!:-(

Swali:
  • SI unajua CHAI inanyweka bila sukari na kama unatumia SUKARI kurembesha chai yako hilo ni jambo la kujifunza tu kama iwezekanavyo TU kwa aliyezoea chai ya sukari kujifunza kuinywa bila sukari?

Ndio,...
.... labda BINADAMU ni MWANAFUNZI by nature na hata tukiacha maswala ya LADHA,...
... ila labda pia hata mapenzi ya MATAKO na vyote vilivyomo kwenye TAKO ya BINADAMU mpenda MATAKO ni ya kujifunza tu pia ,...
..... na cha kutisha ni kwamba LABDA uwezo huo wa kupenda MATAKO anao hata BINADAMU ambaye kwa sasa sio MPENDA matako!:-(


Swali:
  • SI inasemekana karibu wengi wapenda BIA ilibidi wajifunze kupenda ladha ya BIA?
Ndio,...
....labda kuna SUKARI ,....
... ndio hasa kisababishacho ULIPATA NAFASI YA KUJIFUNZA LADHA na unajua ladha ya SUKARI ,...
....na kama kungekuwa hakuna SUKARI kama CHUMVI tu vile,...
... MSOSI unalika bila CHUMVI wala SUKARI!:-(


Swali:
  • AU?
  • SI inasemekana aliyezaliwa maeneo ya walao MBWA na PAKA  ndiye rahisi kujua nyama ya paka ni tamu vipi?

 

Ndio,...
.... labda ukichunguza ,...
....utastukia mengi uyapendayo ,...
... umejifunzia tu kuyapenda UKUBWANI,...
...na kama usingejifunza ladha LABDA  wala HAYANOGI!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Kanda Bongoman aanzishe upya kwa-Wallow
Kanda Bongoman aendelee...-Isambe

Kanda Bongoman aendelee...Aendelee...


BAADAYE BASI!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP